Mkutano wa CCM, Wajumbe wote wamesimama kushangilia uteuzi wa mgombea Urais kasoro Luhaga Mpina

Mkutano wa CCM, Wajumbe wote wamesimama kushangilia uteuzi wa mgombea Urais kasoro Luhaga Mpina

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Angalia video:-


Je Luhaga Mpina:-
1. Anaumwa miguu AU
2. Hajafurahia ushindi?
 
Labda kama hujavaa kijani huruhusiwi kushangilia 😄 🤣 maana nimeona wengi kwenye clip hizo hawajavaa kijani wamekaa tu
Sio peke yake ila kama mnamsagia kunguni sawa
 
Tukose Wote Episode ya 1 - Yawezekana huwa wanajua kabla ya kuzaliwa nisijisumbue
Screenshot_2025-01-20-00-31-15-92.png
 
Back
Top Bottom