Mkutano wa CCM, Wajumbe wote wamesimama kushangilia uteuzi wa mgombea Urais kasoro Luhaga Mpina

Mkutano wa CCM, Wajumbe wote wamesimama kushangilia uteuzi wa mgombea Urais kasoro Luhaga Mpina

Tunajuwa wewe unamtaka marehemu Magufuli. Hafufuki huyo
Bora marehemu kuliko huo mdoli wenu.

Ndio maana tunataka Lisu awe mwenyekiti wa chadema ili aje awanyoe kwa chupa huyo mama Abdul wenu kwa kuuza nchi
 
Hakuna chakushangaza , Rais aliye kwenye kiti ndio ana power yakuamua nani awe mgombea , everything was planned .
 
Hakuna chakushangaza , Rais aliye kwenye kiti ndio ana power yakuamua nani awe mgombea , everything was planned .
Nahisi walipanga kabisa hili tukio japo kuna baadhi ya watu wanahisi limetokea kwa bahati mbaya!
Hata Kikwete alishitukizwa tu na akawa hana namna ya kufanya ila nahisi wajumbe wengi hawajapendezwa na utaratibu huu maana maamuzi yamefanyika kwa mihemko sana!
 
Hyu ni Chadema bound....hatakaa hapo CCM tena...aende akaungane na makamanda kule siasa zichangamke.....ila CCM walivyo na figisu hyu ubunge ausahau...akiendelea kubaki hapo au kwnda upinzani....maana washamuona hyu msumbufu
CHADEMA ipi sasa anayokwenda? Hebu subiri kesho kama utaoiona CHADEMA tena
 
CHADEMA ipi sasa anayokwenda? Hebu subiri kesho kama utaoiona CHADEMA tena
Mm naisubiri kesho kwa hamu....Kila nikipiga hesabu naona mauzauza makubwa....matokeo ya kumpata mwenyekiti yakitangazwa mpk waloshindwa wazoee hiyo hela tyri uchaguzi mkuu ushafika...bdo watakaohama Chama kwa kutoridhishwa na matokeo.....yaani uchaguzi wao kufanya mwaka huu Hawa mabwana imekuwa mistake moja kubwa sana......jana tumeshatqngaziwa Rais na makamu wa rais rasmi
 
Njaaa ya nyie chawa ndio inawatesa Mpina hana kosa Lolote... Watu wengi walikua wamekaa...Na Kingine badala ya kumhurumia Mpina nyie ndio wa kuhurumia kwasababu hamjui lolote...
Wewe je, Kuna chochote unakijua?!!!!
Mpina ana msongo wa mawazo uliopitiliza, anateseka sana. Chuki ni mbaya mnoooo!
 
Back
Top Bottom