Huyo ilitegemewa. Uzuri wa mama Samia Wala haangaiki na haters anawapotezea tu.
Hyu ni Chadema bound....hatakaa hapo CCM tena...aende akaungane na makamanda kule siasa zichangamke.....ila CCM walivyo na figisu hyu ubunge ausahau...akiendelea kubaki hapo au kwnda upinzani....maana washamuona hyu msumbufuAngalia video:-
View attachment 3206848
Je Luhaga Mpina:-
1. Anaumwa miguu AU
2. Hajafurahia ushindi?
Andika kwa kutulia mkuu!Namuubga mkono mpina haiwezekanidemokrasia ichafulierlwe kiasi hicho
Bora marehemu kuliko huo mdoli wenu.Tunajuwa wewe unamtaka marehemu Magufuli. Hafufuki huyo
Anasubiri kwenda mahakamani katiba ya chama imevunjwaAngalia video:-
View attachment 3206848
Je Luhaga Mpina:-
1. Anaumwa miguu AU
2. Hajafurahia ushindi?
Wanamtaka ndio maana wanamshangilia. Kama kuna maslahi wanapata lazima wamtake huyo. Kama mtu hana faida kwako ni ngumu kumuunga mkono. Wako sahihiWanaoshangilia wanashangilia ulaji na siyo wanamtaka Samia
Pale pembeni aliyekaa ni "mke wake"!Mbona siyo peke yake. Pembeni kuna mwingine amekaa. Achane UCHAWI.
Hapo wanafukuzia teuziWanamtaka ndio maana wanamshangilia. Kama kuna maslahi wanapata lazima wamtake huyo. Kama mtu hana faida kwako ni ngumu kumuunga mkono. Wako sahihi
Nahisi walipanga kabisa hili tukio japo kuna baadhi ya watu wanahisi limetokea kwa bahati mbaya!Hakuna chakushangaza , Rais aliye kwenye kiti ndio ana power yakuamua nani awe mgombea , everything was planned .
CHADEMA ipi sasa anayokwenda? Hebu subiri kesho kama utaoiona CHADEMA tenaHyu ni Chadema bound....hatakaa hapo CCM tena...aende akaungane na makamanda kule siasa zichangamke.....ila CCM walivyo na figisu hyu ubunge ausahau...akiendelea kubaki hapo au kwnda upinzani....maana washamuona hyu msumbufu
Mm naisubiri kesho kwa hamu....Kila nikipiga hesabu naona mauzauza makubwa....matokeo ya kumpata mwenyekiti yakitangazwa mpk waloshindwa wazoee hiyo hela tyri uchaguzi mkuu ushafika...bdo watakaohama Chama kwa kutoridhishwa na matokeo.....yaani uchaguzi wao kufanya mwaka huu Hawa mabwana imekuwa mistake moja kubwa sana......jana tumeshatqngaziwa Rais na makamu wa rais rasmiCHADEMA ipi sasa anayokwenda? Hebu subiri kesho kama utaoiona CHADEMA tena
Pale pembeni aliyekaa ni "mke wake"!
Wewe je, Kuna chochote unakijua?!!!!Njaaa ya nyie chawa ndio inawatesa Mpina hana kosa Lolote... Watu wengi walikua wamekaa...Na Kingine badala ya kumhurumia Mpina nyie ndio wa kuhurumia kwasababu hamjui lolote...