Hayo mambo waachie Chadema mwenyewe. Kwani wakati CCM inafanya mkutano wao online itafsiriwe kuwa hawakuwa na hela ya kulipia ukumbi?
Si mnasema wanawafadhili sasa hivi mnasema hawana si propaganda yenu kwamba wanapewa pesa na Mabeberu Tuache siasa za maji taka
Umesogezwa hadi lini? Tone tone iko kwa nani hadi hadi hapooooo itakapotangazwa tena sijui lini mkutano utafanyikaUnahangaika chawa , mwanzo mlisema chama hakina pesa kinafadhiliwa na mabeberu .
Mara hakina uwezo wa kukusanya hata milioni 10 .
Wamepiga tone tone imefika milioni 300 ndii washindwe kufikisha hizo 28 zilizobaki tena chini ya majuma mawili ya tarehe ya awali ya mkutano?
Sababu zilizotolewa kusogeza mkutano zina mashiko labda machawa msio na uwezo wa kuelewa mapema kama akina Katuga.
Una uwezo mdogo wa kufikiri kama mawakili wa jamhuri waliozoea MCQs.
Umesogezwa hadi lini? Tone tone iko kwa nani hadi hadi hapooooo itakapotangazwa tena sijui lini mkutano utafanyika
watanzania tunapaenda umbea badala ya kujadili namna ya lkupata katiba mpya unaleta vitu ambavyo havina maana