Mkutano wa CHADEMA wa kupinga maendeleo kwa Watanzania umekwama tena Bukoba

Uvccm muachage Ushamba wa kizamani fanyeni Siasa zenye hadhi ya CCM

Sikilizeni Mkutano wa Chadema kisha jibuni hoja kama Bavicha wanavyowasikiliza kwa makini Kinana na Chongolo kisha wanaibua Mijadala
Umeongea point mkuu tena kwa sauti ya Kinana
 
Chadema waliminywa na magu wakapoteana. Sasa hivi wanataka kuibuka kwa kudakia hoja kama DP World.

Hawana la msingi wanalolipigania.

Sijui wataokoteza nini ishu ya DP World ikiisha.

Watanzania nao ni fuata upepo bila kujua wanacheza ngoma ya mwana mpotevu.

Mimi si mwanachama wa chama chochote, ni mtizamo tu.
 
JUMA JUMA, nikikumbuka ulivyokuwa ukianzisha nyuzi JF kila siku za kumpamba GWAJIMA Kawe na kwamba akichaguliwa basi vijana wa Kawe watapelekwa Uingereza daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpaka leo ile ahadi sijaisikia tena, hakika Akili zako zipo matakoni mwako
 
Propaganda mfu hizo.

Mkutano umefanikiwa wananchi wamejitokeza kwa wingi sana

1690556754687.png
 
Chadema waliminywa na magu wakapoteana. Sasa hivi wanataka kuibuka kwa kudakia hoja kama DP World.

Hawana la msingi wanalolipigania.

Sijui wataokoteza nini ishu ya DP World ikiisha.

Watanzania nao ni fuata upepo bila kujua wanacheza ngoma ya mwana mpotevu.

Mimi si mwanachama wa chama chochote, ni mtizamo tu.
Tonge la dpw walishatemeshwa na kama si chadema dpw ilikuwa inabeba zigo kimzaamzaa
 
Chadema waliminywa na magu wakapoteana. Sasa hivi wanataka kuibuka kwa kudakia hoja kama DP World.

Hawana la msingi wanalolipigania.

Sijui wataokoteza nini ishu ya DP World ikiisha.

Watanzania nao ni fuata upepo bila kujua wanacheza ngoma ya mwana mpotevu.

Mimi si mwanachama wa chama chochote, ni mtizamo tu.
Umeongea vizuri sana. Ila umefanya kosa kuwadharau waTanzabia; kwamba ni fuata upepo bila kujua...........

Big mistake: WaTanzabia sio wajinga.
 
Ni utafiti wangu pale issue zinapoibuka,bso hupepea naxo na huwa hawafuatilii mwisho wa jambo .
 
Uvccm muachage Ushamba wa kizamani fanyeni Siasa zenye hadhi ya CCM

Sikilizeni Mkutano wa Chadema kisha jibuni hoja kama Bavicha wanavyowasikiliza kwa makini Kinana na Chongolo kisha wanaibua Mijadala
Vijana wa CCM hawawezi Kusikiliza matusi na kujibu...Wangekuwa na Hoja mahususi tungesema ngoja tumsikilize lakini sio Kwa maugoro wanayoongea Majukwaani
 
Back
Top Bottom