Umeongea point mkuu tena kwa sauti ya KinanaUvccm muachage Ushamba wa kizamani fanyeni Siasa zenye hadhi ya CCM
Sikilizeni Mkutano wa Chadema kisha jibuni hoja kama Bavicha wanavyowasikiliza kwa makini Kinana na Chongolo kisha wanaibua Mijadala
Haya sawa kakojoe ulaleChadema waliminywa na magu wakapoteana. Sasa hivi wanataka kuibuka kwa kudakia hoja kama DP World.
Hawana la msingi wanalolipigania...
Uvccm hawa ni kama panyaroad tu.Uvccm muachage Ushamba wa kizamani fanyeni Siasa zenye hadhi ya CCM
Sikilizeni Mkutano wa Chadema kisha jibuni hoja kama Bavicha wanavyowasikiliza kwa makini Kinana na Chongolo kisha wanaibua Mijadala
Tonge la dpw walishatemeshwa na kama si chadema dpw ilikuwa inabeba zigo kimzaamzaaChadema waliminywa na magu wakapoteana. Sasa hivi wanataka kuibuka kwa kudakia hoja kama DP World.
Hawana la msingi wanalolipigania.
Sijui wataokoteza nini ishu ya DP World ikiisha.
Watanzania nao ni fuata upepo bila kujua wanacheza ngoma ya mwana mpotevu.
Mimi si mwanachama wa chama chochote, ni mtizamo tu.
Umeongea vizuri sana. Ila umefanya kosa kuwadharau waTanzabia; kwamba ni fuata upepo bila kujua...........Chadema waliminywa na magu wakapoteana. Sasa hivi wanataka kuibuka kwa kudakia hoja kama DP World.
Hawana la msingi wanalolipigania.
Sijui wataokoteza nini ishu ya DP World ikiisha.
Watanzania nao ni fuata upepo bila kujua wanacheza ngoma ya mwana mpotevu.
Mimi si mwanachama wa chama chochote, ni mtizamo tu.
Ni utafiti wangu pale issue zinapoibuka,bso hupepea naxo na huwa hawafuatilii mwisho wa jambo .Umeongea vizuri sana. Ila umefanya kosa kuwadharau waTanzabia; kwamba ni fuata upepo bila kujua...........
Big mistake: WaTanzabia sio wajinga.
Vijana wa CCM hawawezi Kusikiliza matusi na kujibu...Wangekuwa na Hoja mahususi tungesema ngoja tumsikilize lakini sio Kwa maugoro wanayoongea MajukwaaniUvccm muachage Ushamba wa kizamani fanyeni Siasa zenye hadhi ya CCM
Sikilizeni Mkutano wa Chadema kisha jibuni hoja kama Bavicha wanavyowasikiliza kwa makini Kinana na Chongolo kisha wanaibua Mijadala