M Marietta Member Joined Oct 1, 2014 Posts 11 Reaction score 1 Dec 19, 2014 #1 Kutakuwa na mkutano wa fursa ya biashara kwenye ukumbi wa New Safari Hotel kesho jumamosi(20/12/2014) saa tisa alasiri(15:00). Kiingilio ni bure. Kwa mawasiliano zaidi piga 0753499766
Kutakuwa na mkutano wa fursa ya biashara kwenye ukumbi wa New Safari Hotel kesho jumamosi(20/12/2014) saa tisa alasiri(15:00). Kiingilio ni bure. Kwa mawasiliano zaidi piga 0753499766
P PHES Senior Member Joined Feb 13, 2014 Posts 121 Reaction score 108 Dec 19, 2014 #2 Members wote wa JF wanaishi Arusha? Ungekuwa na nia njema ungetuma mapema kwani naamini hawajakurupuka kuitisha mkutano huo. Vinginevyo ungesubiri utupe matokeo na fursa zilizoelezwa. Siku nyingine tafakari Hata Kama una hamu ya kuandika.
Members wote wa JF wanaishi Arusha? Ungekuwa na nia njema ungetuma mapema kwani naamini hawajakurupuka kuitisha mkutano huo. Vinginevyo ungesubiri utupe matokeo na fursa zilizoelezwa. Siku nyingine tafakari Hata Kama una hamu ya kuandika.