Mkutano wa fursa ya biashara Arusha

Mkutano wa fursa ya biashara Arusha

Marietta

Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
11
Reaction score
1
Kutakuwa na mkutano wa fursa ya biashara kwenye ukumbi wa New Safari Hotel kesho jumamosi(20/12/2014) saa tisa alasiri(15:00).
Kiingilio ni bure.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0753499766
 
Members wote wa JF wanaishi Arusha? Ungekuwa na nia njema ungetuma mapema kwani naamini hawajakurupuka kuitisha mkutano huo. Vinginevyo ungesubiri utupe matokeo na fursa zilizoelezwa.

Siku nyingine tafakari Hata Kama una hamu ya kuandika.
 
Back
Top Bottom