Mkutano wa G20 ni Tanzania pekee imepeleka wajumbe wengi sana, watu 100+kuliko hata wajumbe wa Brazili mwenyeji

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Kwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.

Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.

China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.

Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.

Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.

Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
 
KWenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.

Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.

China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.

Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kulilo muanaadaji wa mkutano ho Brazili.

Sisi badala ya kubana tunafuja mali, eti?
 
Kama ni kweli ni uvujaji wa mali za umma, yote yanasababishwa na wahusika kuwa na kinga ila naamini hiyo kinga itakuja kuondolewa na wakashitakiwa.
 
KWenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.

Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.

China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.

Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kulilo muanaadaji wa mkutano ho Brazili.

Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.

Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
KWenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.😂
 
Back
Top Bottom