Pole sana. Unaumia mwenyewe....Kwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Utakuta hapo wale ya yale mambo wamejichomeka πKWenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.π
Yaani mwingi hadi unamwagika.Mara ya kwanza watu wanasema mama anaupiga mwingi nilikuwaga sielewi sasa ndo nimeanza kuelewa
Ilifaa wawe wa wakilishi wa kisekta hata zaidi ya mia5 gentleman, na ingependeza zaidi katika kwenda kujifunza, kutumia fursa na kuchota na kuwavutia kila aina ya wawekezaji wa kisekta kuja kuwekeza Tanzania.Kwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
ni kulingana na uzito wa jambo kwetu mia moja lilikua ni amuzi sahihiWangeshiriki 10 key members matunda yangekuwa tofauti na wakishiri 100?
Kwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Nchi inachekesha hii πππ yaan matajiri wamepeleka watu wachache kuliko sisi wazee wa bakuliKwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Iondolewe na nani?Kama ni kweli ni uvujaji wa mali za umma, yote yanasababishwa na wahusika kuwa na kinga ila naamini hiyo kinga itakuja kuondolewa na wakashitakiwa.
Hizo nchi zinginr hazitaki kujifunza? katika watu 100 asilimua kubwa ni chawaIlifaa wawe wa wakilishi wa kisekta hata zaidi ya mia5 gentleman, na ingependeza zaidi katika kwenda kujifunza, kutumia fursa na kuchota na kuwavutia kila aina ya wawekezaji wa kisekta kuja kuwekeza Tanzania.
Hata hivyo,
kwa uchache huo bado umuhimu na faida kwa Taifa ni nyingi na kubwa mno π
si ukawaulize wao gentleman?Hizo nchi zinginr hazitaki kujifunza? katika watu 100 asilimua kubwa ni chawa
Shida iko wazi.shida iko wapi kwani
Mbaya zaidi Tanzania siyo mwanachamaKwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Huyu maza anafuja mali za umma aseeWafaidi wengine... Fungate ya uhuru
Wazanzibar ni watu wa hovyo snUnatumia pesa zako hovyo halafu unaenda kuomba mikopo na kufutiwa madeni. Huyu rais anatakiwa kupumzishwa haraka.
Jpm alikataa mikutano ya nje lakini huyu hajui pesa ya masikini inauma