Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu.

Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote.

Hali ilikuwa hivi

Screenshot_2024-04-05-19-43-16-1.png
Screenshot_2024-04-05-19-43-39-1.png
Screenshot_2024-04-05-19-43-06-1.png
Screenshot_2024-04-05-19-42-56-1.png
 
Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu
Nyomi lake si michezo, mnyang'anyi kaamua kwenda kupata ahuweni mbulu sio, baada ya uteuzi uliomchefua sana juzi dah 🐒
 
Erythrocyte nakuonea huruma.

CDM wapunguze ukabila ,, haiwezekan anayeripot taarifa za chama ni Erythrocyte mtu kutoka Mwakareli lakini anayelipwa mshahara wa usemaji wa Chama ni Tumaini Makene kutoka Moshi.
Asante kwa huruma yako , japo mimi sihitaji kulipwa kwa ajili ya ukombozi wa Nchi , bali nitachangia hata pesa taslimu ili kuleta ukombozi kupitia Chadema , chama pekee cha upinzani Tanzania
 
nyomi lake si michezo,
mnyang'anyi kaamua kwenda kupata ahuweni mbulu sio, baada ya uteuzi uliomchefua sana juzi dah 🐒
Hili nyomi linashinda hili la Mbowe pichani katika mkutano wake uliosusiwa na wana Hai?

Maana nakumbuka siku ile mwenyekiti alitoa hela ili kuwakodishia watu mabasi kutoka Arusha na maeneo ya jirani waje kuziba mapengo ya waliosusia mkutano wake.
 

Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    64.7 KB · Views: 2
Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu...
Hizo ni hatua za kuwafuta wapora fomu kwa wagombea pendwa kwa wananchiviongozi watarajiwa😅
 
Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu .

Mwenyekiti wa Kanda hiyo , Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote .

Hali ilikuwa hivi

View attachment 2954777View attachment 2954778View attachment 2954827View attachment 2954829
Ndio ameanza safari huyu mbulu mara meru nairobi canada anaanza kuposti vifungu vya biblia!
 
Back
Top Bottom