Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Safari hii patachimbikaSubirini tume takatifu ya uchaguzi itakavyotoa matokeo ya uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii patachimbikaSubirini tume takatifu ya uchaguzi itakavyotoa matokeo ya uchaguzi.
Unaumia ukiwa wapiHili nyomi linashinda hili la Mbowe pichani katika mkutano wake uliosusiwa na wana Hai?
Maana nakumbuka siku ile mwenyekiti alitoa hela ili kuwakodishia watu mabasi kutoka Arusha na maeneo ya jirani waje kuziba mapengo ya waliosusia mkutano wake.
Ameacha kutukana wazeeSuper sub Salum Hapi
Hiki chama hiki Mungu ashukuriwe sanaChama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu.
Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote.
Hali ilikuwa hivi
View attachment 2954777View attachment 2954778View attachment 2954827View attachment 2954829
Habari imemfikiaSuper sub Salum Hapi