Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Apr 6, 2024 Thread starter #41 MamaSamia2025 said: Subirini tume takatifu ya uchaguzi itakavyotoa matokeo ya uchaguzi. Click to expand... Safari hii patachimbika
MamaSamia2025 said: Subirini tume takatifu ya uchaguzi itakavyotoa matokeo ya uchaguzi. Click to expand... Safari hii patachimbika
K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 948 Reaction score 1,627 Apr 6, 2024 #42 Safari hii Wana CCM tujipange kisawasawa. Hiki chama cha upinzani kina kuja kwa kasi sana.
Dr tupa JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 229 Reaction score 170 Apr 6, 2024 #43 Mr Dudumizi said: Hili nyomi linashinda hili la Mbowe pichani katika mkutano wake uliosusiwa na wana Hai? Maana nakumbuka siku ile mwenyekiti alitoa hela ili kuwakodishia watu mabasi kutoka Arusha na maeneo ya jirani waje kuziba mapengo ya waliosusia mkutano wake. Click to expand... Unaumia ukiwa wapi
Mr Dudumizi said: Hili nyomi linashinda hili la Mbowe pichani katika mkutano wake uliosusiwa na wana Hai? Maana nakumbuka siku ile mwenyekiti alitoa hela ili kuwakodishia watu mabasi kutoka Arusha na maeneo ya jirani waje kuziba mapengo ya waliosusia mkutano wake. Click to expand... Unaumia ukiwa wapi
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Apr 6, 2024 Thread starter #44 johnthebaptist said: Super sub Salum Hapi Click to expand... Ameacha kutukana wazee
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Apr 6, 2024 #45 Erythrocyte said: Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu. Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote. Hali ilikuwa hivi View attachment 2954777View attachment 2954778View attachment 2954827View attachment 2954829 Click to expand... Hiki chama hiki Mungu ashukuriwe sana
Erythrocyte said: Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu. Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote. Hali ilikuwa hivi View attachment 2954777View attachment 2954778View attachment 2954827View attachment 2954829 Click to expand... Hiki chama hiki Mungu ashukuriwe sana
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Apr 6, 2024 #46 johnthebaptist said: Super sub Salum Hapi Click to expand... Habari imemfikia