Elections 2010 Mkutano Wa Hadhara Wa Wana-JF [Online]

Elections 2010 Mkutano Wa Hadhara Wa Wana-JF [Online]

Mbona mkutano hauna mpangilio wengine wanaongea huku wamesimama, jamani tusikilizane basi mwenyekiti uko wapi sikuoni naomba niongee.
 
Mbona mkutano hauna mpangilio wengine wanaongea huku wamesimama, jamani tusikilizane basi mwenyekiti uko wapi sikuoni naomba niongee.

Haaa haaaa Tatizo vijana hawataki kutulia hawa . . . hebu Mavuvuzela yatulie kwanza

Amandla . . . .
Kidumu . . .
Power to . . . .
Haki sawa . . .

Quinine, naomba sasa utoe maoni yako . . . Mwenyekiti hatuna . . . Aiseeee
 
nipo......:cheer2:
serikali itakayoingia madarakani ianze na katiba mpya, si kuendelea na hii iliyochakachuliwa!

Ngoja nicheck kwanza na Sex detector ya kichungaji!
 
Ngoja nicheck kwanza na Sex detector ya kichungaji!

Mchungaji, watu wa Mungu wa ile Jinsia wameshafika tayari. Sasa anaza kuongea basi bila kwenda kwenye hiyo detector. Ukimaliza tutaendelea.
 
Napenda kujua kati ya wana JF wangapi wamejiandikisha kupiga kura?

WoS, hatuna uhakika mpaka sasa labda tufanye sensa maalumu, lakini bado tunakukaribisha kutoa maoni ya "Agenda Kuu 2010" toka JF
 
jamani mnisamehe nimechelewa foleni.....je naruhusiwa kuingia mkutanoni au mkutano ushaisha?....mbona naona mashati ya kijani,nyekundu,bluu aaah wengine jembe na nyundo ,mizani,vidole viwili,misalaba,vibalaghashia....au ......?
 
Itakuwa ngumu mumy kujua! Sijui unataka tumia methodology ipi? Questionnaire maana sampling yenyewe kasheshe! Bila shaka uko salama

Hakuna ugumu wowote mchungaji.Ni mtu awe mkweli tu aseme.Mfano mimi nimejiandikisha ndio ukweli.Wewe je?
 
sasa nataka kuongea , nanyosha kidole mwenyekiti hunichagui
 
jamani mnisamehe nimechelewa foleni.....je naruhusiwa kuingia mkutanoni au mkutano ushaisha?....mbona naona mashati ya kijani,nyekundu,bluu aaah wengine jembe na nyundo ,mizani,vidole viwili,misalaba,vibalaghashia....au ......?

Karibu Mahesabu, siku nyingine ni vema utumie Boda Boda, maana zenyewe haziathiriki na fole.

Ingia Mkutanoni. Panda jukwaa kuu uanze kutoa maoni yako. Matusi hayaruhusiwi . . .
 
WoS, hatuna uhakika mpaka sasa labda tufanye sensa maalumu, lakini bado tunakukaribisha kutoa maoni ya "Agenda Kuu 2010" toka JF

Napendekeza:
" AHADI ZA WAGOMBEA: NI KWA VIPI TUTAPIMA UTEKELEZAJI WAKE UKIZINGATIA TUNAPEWA AHADI MPYA KILA SIKU ILHALI ZA ZAMANI HATA HAZIKUMBUKWI?"

( Inanikumbusha wakati nachumbiwa...ahadi kibaooo! ukishaingia ndani...utakoma kuringa!)
 
Hakuna ugumu wowote mchungaji.Ni mtu awe mkweli tu aseme.Mfano mimi nimejiandikisha ndio ukweli.Wewe je?

Mchungaji na WoS mnatoka nje ya mada. Sasa mmenichanganya . . . Aisee, nilifikia wapi tena?
 
Hakuna ugumu wowote mchungaji.Ni mtu awe mkweli tu aseme.Mfano mimi nimejiandikisha ndio ukweli.Wewe je?

Nimejiandisha na shahada yangu siuzi kabisa! Sasa wewe utampigia kura nani unaweza niPM .....kukushauri!
 
Back
Top Bottom