Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
muwe wavumilivu, musigwa kazomewa udom alikuwa mtulivu na hakupaniki sasa nyie kuzomewa kidogo mnaanza kupiga watuYaani unaakili timamu unatumwa kwenda kuvuruga mkutano na wewe unaenda.Hakuna mtu anaweza kuanzisha tu vurugu bila kutumwa na mtu
Mimi sio mfuasi wala mkereketwa wa Chadema lakini hapa haingii akilini toka wameanza mikutano hawajawahi kufanya fujo.Je nani mnufaika wa hizo fujo? Vijana wasitumike kwenye mambo ya kipumbavu.Kweli machadema wameishiwa hoja baada ya kushinda na hoja moja bila kueleza mipanga ya uzalishaji mali au maendeleo watafanya mbinu ipi kubadili maisha ya watu, wanaamuwa kutuma wenzao kujijeruhi wasingizie wengine! Hovyo kabisa hawa
Kwanza kapigwa jiwe la mgongo hajasimama vizuri kakutana na upper cutKuna greencard mmoja amevaa t shirt nyekundu nimeona amekula ngumi na teke hadi kapoteza uelekeo nyambafu!!
Mbona wao waliwatuma vijana kule Mara wakawafanyia vurugu CHAUMA!!? Au hilo pia hukuliona!!?Mimi sio mfuasi wala mkereketwa wa Chadema lakini hapa haingii akilini toka wameanza mikutano hawajawahi kufanya fujo.Je nani mnufaika wa hizo fujo? Vijana wasitumike kwenye mambo ya kipumbavu.
Sasa wangemalizia na ngumi ya pakunyea!!Kwanza kapigwa jiwe la mgongo hajasimama vizuri kakutana na upper cut
Mzee mimi sijawaha na wala sina undugu na Chadema lakini ni lazima tukemee upuuzi.Unaweza kuwa CCM au Chadema au Act au usiwe upande wowote lakini usipojitambua unaweza tumika vibaya na ukaporeza uhai wako huku waliokutumia watahani laki moja tu kwenye familia yako.muwe wavumilivu, musigwa kazomewa udom alikuwa mtulivu na hakupaniki sasa nyie kuzomewa kidogo mnaanza kupiga watu
UWT nini kinawauma?Mbona hata CHAUMA mliwafanyia vurugu mara!!? Au nyie mna haki zote!!
Mnaumiza watu wanaopingana na ujinga wenu ndani ya machadema!!UWT nini kinawauma?
halafu kakijana kenyewe hata afya hakana tena kamefuatwa kado mbali, hivi kweli ccm watume vijana ndo itawatuma hao kweli, heche aache mambo yakipumbavuHuyo mwenye black ngumi aliyoirusha inatakiwa itumike kwenye practical za vyuo vikuu vyote vya ngumi...
Mbona UWT mnapanic mapema sn?Mnaumiza watu wanaopingana na ujinga wenu ndani ya machadema!!
Naunga mkono hojaWakati Nehemiah anajenga ukuta walikuwepo maadui akina Sanbarati na Tobia walichofanya mkono mmoja alijenga mwingine ukashika panga aka siraha. Naomba viongozi wa CHADEMA tumieni mbinu hii. Polisi wakifika wakute majeruhi wawapeleke hospitali.
mnachochea moto?Wakati Nehemiah anajenga ukuta walikuwepo maadui akina Sanbarati na Tobia walichofanya mkono mmoja alijenga mwingine ukashika panga aka siraha. Naomba viongozi wa CHADEMA tumieni mbinu hii. Polisi wakifika wakute majeruhi wawapeleke hospitali.
Dawa ni hiyo Polisi waendelee kukaa mbali na mikutano ya chadema maana Chadema hawana imani na polisi na wanasema ni watekaji , kwahiyo ni muhimu zaidi kuendelea kuwa nao mbali kama hivi wasiende kutoa ulinzi wowote kwenye hiyo mikutanoWazee wa reform ni wakuhurumiwa tu maana hawajui hata nini wanataka, na hii ndo faida ya kutumia hasira badala akili.
Unaweza kuhudhuria mkutano wa CCM ukafanya fujo au kupiga kelele za kupinga?. Ukidundwa nini kitakuwa kumekupeleka?. Tumia ubongo kufikiri ndugu mjumbe.mnachochea moto?