Uchaguzi 2020 Mkutano wa Kampeni wa Dkt. Magufuli - Babati

Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Embu onesha udhaifu wake
 
Labda alifunga kitambaa cha cdm
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Labda kama ni kushinda njaa
 
Ume sahau kaudhoofisha babu yako, lakini kafeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…