Uchaguzi 2020 Mkutano wa Kampeni wa Dkt. Magufuli - Babati

Nchi hii itakombolewa na Wananchi wa kawaida wasiokuwa na silaha. Na kipindi chenyewe ndio hiki. Kusubiri mpaka uchaguzi mwingine litakuwa kosa lile lile la miaka yote.
Kwa nilicho kishuhudia leo kwenye seminar ya wasimamizi wa vituo vya uchaguzi ni dhahiri CCM wanashirikiana na TISS kuiba kura
DSO/RSO wanasema...
 
Rais Magufuli anafanya kila kitu, miaka mitano ijayo chini ya Rais Magufuli tutaifikia Africa kusini kiuchumi

Hicho ndicho wasichokitaka
Ila watashindana hawatashinda!!!!!
 
Punguzeni kujitisha na kutishana Anatomist
Mtakuja mfe kwa presha buree
 
Babati hoyeeeeeeeee

Habari ya umeme imeisha hiyo

Kura zote ni kwa John Pombe Joseph Magufuli

Tarehe 28 asubuhi na mapema piga Kura Nenda Nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…