Mkutano wa katiba

Mkutano wa katiba

katamba

New Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Unaitajika mkutano wa katiba ambapo watu wa makundi mbalimbali watawakilishwa ili kuandika mapendekezo ya katiba mpya na si kundi dogo la wataalam kama alivyoeleza muheshimiwa waziri mkuu pinda.
 
UMENENA, ila pitia threads nyingi humu jamvini tumeijadili kwa mapana yake
 
Back
Top Bottom