Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Hata sijaelewa kilichozungumzwa na huyo katibu sijui kusudio la huo mkutano ni nini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga BrotherChama bado kipo na kinakuja na mambo mapya chini ya utendaji wa Katibu Mkuu.
Kama Mwenyekiti ni Lipumba narudia tena hamna chama humo - hana jipyaChama bado kipo na kinakuja na mambo mapya chini ya utendaji wa Katibu Mkuu.
neno furaha wameliongeza, awali halikuwepo, ilikuwa ni HAKI SAWA KWA WOTE, ASIYEJUA HAKI AELIMISHWECuf wapo...slogan yao Haki Sawa furaha kwa wote.