Uchaguzi 2020 Mkutano wa Kimei Vunjo. Sijui atapitaje?

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,319
Reaction score
9,003
Huyu jamaa sijui atapitaje sioni njia ya kupita.

Natamani sana huyu mzee apite hana maneno mengi siyo kama yule Mbatia hajaleta kitu chochote.

 
Huyu jamaa sijui atapitaje sioni njia ya yeye kupita kabisa

picha naweka inagoma
Labda kwa bao la mkono tu, ni kama wagombea wengine wa ccm popote, bila bao la mkono na kuenguana kinyemela hawawezi kupita.
 
Ukisikia kuvamia fani ndiko huku, wewe umekuwa fundi Bomba miaka nenda rudi, ghafla bin vuu uzeeni ati unataka kuwa fundi umeme....wapi na wapi.
WATU WAMESHAONA KUWA WATANZANIA WAJINGA, WAPUMBAVU, UKIWA NA VISENTI VYA KUWAPA MIHOGO KIDOGO, WATAGEUKA NYUMA,,,, DHANA MOJA MBAYA LAKINI YA KWELI MUDA MWINGI!
 
Ukisikia kuvamia fani ndiko huku, wewe umekuwa fundi Bomba miaka nenda rudi, ghafla bin vuu uzeeni ati unataka kuwa fundi umeme....wapi na wapi.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna vitu lazima uelewe, Vunjo inataka sayansi kufanya kampeni, Watu wa Vunjo hakuna mahali utawakusanya kwa mamia waache shuhuli zao,
Hii inaitwa wajue wapiga kura wako....
 
Natamani sana huyu mzee apite hana maneno mengi siyo kama yule Mbatia
 
Ya kweli?! Basi. Ngoja tuone,Ila wapiga kura watakuwa wa kubwa wa kubwa wametulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…