Uchaguzi 2020 Mkutano wa Kimei Vunjo. Sijui atapitaje?

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Kimei Vunjo. Sijui atapitaje?

Kwa hali ilivyo hakuna ubishi kwamba mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya CCM Dkt Charles Stephen Kimei ndiye anayekubalika zaidi jimboni humo na hivyo kupewa nafasi kubwa ya kushinda ubunge wa jimbo hilo.

#T2020JPM
#VunjoNiKimei

IMG_20200909_162846_924.jpg
IMG_20200909_162911_278.jpg
IMG_20200909_153053_468.jpg
IMG_20200909_121901_672.jpg
IMG_20200908_164540_671.jpg
IMG_20200908_135402_065.jpg
IMG_20200908_145128_499.jpg
IMG_20200908_114108_226.jpg
IMG_20200905_145913_631.jpg
IMG_20200905_150029_049.jpg
IMG_20200905_150007_136.jpg
 
Hivi Chadema hawana mgombea huko?

Au ndio kati ya walioenguliwa kiajabu ajabu na hii Tume ya waigizaji.
 
Kweli maisha yanaenda Kasi Sana kutoka ukurugenzi wa bank hadi ubunge dah

Ila yote haya ni kwasababu ya ujinga wa wananchi 99% ni wajinga na ndio mtaji
Naskia ameahidiwa uwaziri.
 
Kweli maisha yanaenda Kasi Sana kutoka ukurugenzi wa bank hadi ubunge dah

Ila yote haya ni kwasababu ya ujinga wa wananchi 99% ni wajinga na ndio mtaji
Ubunge hauna stress na ni sehemu ya kuvuta mpunga bila hofu ya kutumbuliwa. After 5 years unakunja TZS. 230+ million tax free. Kimei sio fala.
 
yap jana alikuwa Sekao lodge nilipokuwepo, anasema vijana tujiajir wakat yey kafanya kaz BOT miaka 20 na CRDB 2I na bado anautaka ubunge nilisepa aiseeh!
Hawa wanasiasa wanarahisisha maisha. Anyway hakuna asiyependa kujiajiri kama uwezo wa kufanya hivyo upo, ni jambo bora.
 
Kweli maisha yanaenda Kasi Sana kutoka ukurugenzi wa bank hadi ubunge dah

Ila yote haya ni kwasababu ya ujinga wa wananchi 99% ni wajinga na ndio mtaji
Akija kuwa Waziri wa fedha na mipango bado utamuona amekosea?
 
Back
Top Bottom