Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

Hakika yankwenda kutimia kama tulivyosubiri...Hiki ni kilio cha magamba tena. Licha ya kuiba kwa miaka 50 bado wanatamani waendelee kutwala WATANZANIA WASOMI, wanaoishi maisha magumu.

Hali ni tofauti na hili linanifanya nikumbuke msemo usema' NAITAMANI KESHO' NISHUHUDIE UKOMBOZI WA TANZANIA MPYA

MUNGU IBARIKI CHADEMA, BARIKI NA WAPIGA KURA WAKE NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA
 

Mheshimiwa maneno mengine ni matusi katika makabira mengine.
 

freedom is coming tomorrow
 
Leo nimepita hapo Igunga,yani bendera za CDM ni nyingi sana!!! ki msingi wasukuma wamebadilika sana,sisi tunaokaa huko lake zone ndo tunayaona mabadiliko makubwa ya kifkra!!!! nafikiri kitaeleweka tu!!
 
Tuwaombee waliopo mstari wa mbele kwa niaba yetu
 

Aaaamen!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…