Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
Hakika yankwenda kutimia kama tulivyosubiri...Hiki ni kilio cha magamba tena. Licha ya kuiba kwa miaka 50 bado wanatamani waendelee kutwala WATANZANIA WASOMI, wanaoishi maisha magumu.
Hali ni tofauti na hili linanifanya nikumbuke msemo usema' NAITAMANI KESHO' NISHUHUDIE UKOMBOZI WA TANZANIA MPYA
MUNGU IBARIKI CHADEMA, BARIKI NA WAPIGA KURA WAKE NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA