samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Igunga wameamua kufanya mabadiliko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani slaa ilikuaje?alijaza watu kibao kiko wapi?nyie mna mbio sisi tunajua njia,CCM oyeeeeeeeeeee!
Kuna mtu kaleta porojo hap JF kwamba wananchi wamekimbia mkutano wa chadema na kukimbilia mkutano wa cuf sasa hapa regina mwolekwa anasema mkutano wa chadema umefurika huku cuf na mshirika wake ccm wakikosa watu.
Cuf na ccm wameshashindwa uchaguzi wasubiri kuzikwa rasmi kesho.
Mkuu kiapo chako ni kikali sana, hivi unajua kufanya mapenzi na mama yako jinsi ilivyo ngumu ndiyo umefananisha na kuishabikia CCM!!!!! Kiukweli hata kama siipendi CCM lakini hili ni too much!......kwani kama sio upeo wangu mdogo basi ni kweli usiopingika kuishabikia CCM na hata kuipigia CCM kwangu nisawa na laana ya kufanya mapenzi na mama yangu mzazi......
Kwani slaa ilikuaje?alijaza watu kibao kiko wapi?nyie mna mbio sisi tunajua njia,CCM oyeeeeeeeeeee!
Updates- Campaign zimefungwa rasmi, na haijawahi kutokea mkutano kuwa na watu wengi kama walioshuhudiwa leo kwenye mkutano wa lala salama wa CDM tangu campaign zianze huko Igunga.
Viongozi wa CDM wamesema watahakikisha wanalinda kura zisiibiwe, na wakifanya wizi wa aina yoyote ukagundulika hawatakaa kimya.
Pia vijana wa CDM wamejaa barabarani kwa miguu, baiskeli, bajaji na magari, mji ni kama umesimama watu wote wapo barabarani na bendera zao, polisi wamejaa na wanzunguka uku wameshika mitutu, wanataka watu wasambae. Tuombe amani iwepo. Nauona ukombozi unakaribia uko Igunga!
Regina Mwaleko wa clouds FM alikuwa akiripoti live kutoka Igunga na amesema kwamba mkutano wa CDM umejaa watu wengi sana na kupelekea CCM na CUF kukosa watu kwenye mikutano yao. Hivi sasa makamanda wanajitambulisha na kuhimiza wananchi wa Igunga kujitokeza kwa wingi kesho kupiga kura. Mungu ibariki CDM, Mungu ibariki Tanzania
Ni kweli kabisa vijana wengi hawajiandikisha, na hii inaweza kuwa nzuri kwa ccm!
Na jana kwenye hotuba yake aliongea kwa jazba huku akipiga mikwara mizito ili watu waogope kupiga kura....ila alionyesha waziwaz kwamba anaogopaNadhani jeyikeyi akiiona hii picha chakula cha usiku hawezi kula
Na jana kwenye hotuba yake aliongea kwa jazba huku akipiga mikwara mizito ili watu waogope kupiga kura....ila alionyesha waziwaz kwamba anaogopa
Sidhani kama nyie viwavi wa cdm mnafikiria vizuri hivi umati ndio kupiga kura acheni ushamba
Chadema wakishinda igunga nakunywa tindikali