Tetesi: Mkutano wa Mbowe na waandishi wa habari leo

Mwanzo Shiza

Member
Joined
May 21, 2018
Posts
79
Reaction score
36
Tamthilia ya Mbowe kuendelea muda si mrefu, leo Okt 6, 2019 anafanya press kuituhumu Serikali na CCM vinavihujumu vyama vya Upinzani katika uchaguzi wa S/mtaa. Hii ni hadaa na anataka kutafta huruma kwa umma. Dosari za uchaguzi zinashughulikiwa kisheria na si vyombo vya habar.
 
stupid post
 
Mbowe atatanya press Kama Nani? Wakati muda wake wa uenyekiti ulishapita .

Uchaguzi umaganyika lini? Waandishi wa habari wamuulize.Na akiita press swali.la kwanza liwe umetuita wewe Kama Nani?
 
Kumbe we bashite wa JF!!!
 
Mbowe atatanya press Kama Nani? Wakati muda wake wa uenyekiti ulishapita .

Uchaguzi umaganyika lini? Waandishi wa habari wamuulize.Na akiita press swali.la kwanza liwe umetuita wewe Kama Nani?
Hivi utaendedhaje uchaguzi wa mitaa sambamba na uchaguzi wa ndani utegemee mafanikio Hawa jamaa hamnazo
 
Tamthilia ya Mbowe kuendelea muda si mrefu, leo Okt 6, 2019 anafanya press kuituhumu Serikali na CCM vinavihujumu vyama vya Upinzani katika uchaguzi wa S/mtaa. Hii ni hadaa na anataka kutafta huruma kwa umma. Dosari za uchaguzi zinashughulikiwa kisheria na si vyombo vya habar.
tushamzoea huyo
 
Back
Top Bottom