Mwanzo Shiza
Member
- May 21, 2018
- 79
- 36
Tamthilia ya Mbowe kuendelea muda si mrefu, leo Okt 6, 2019 anafanya press kuituhumu Serikali na CCM vinavihujumu vyama vya Upinzani katika uchaguzi wa S/mtaa. Hii ni hadaa na anataka kutafta huruma kwa umma. Dosari za uchaguzi zinashughulikiwa kisheria na si vyombo vya habar.