Mwanzo Shiza
Member
- May 21, 2018
- 79
- 36
stupid postTamthilia ya Mbowe kuendelea muda si mrefu, leo Okt 6, 2019 anafanya press kuituhumu Serikali na CCM vinavihujumu vyama vya Upinzani katika uchaguzi wa S/mtaa. Hii ni hadaa na anataka kutafta huruma kwa umma. Dosari za uchaguzi zinashughulikiwa kisheria na si vyombo vya habar.
Kumbe we bashite wa JF!!!Tamthilia ya Mbowe kuendelea muda si mrefu, leo Okt 6, 2019 anafanya press kuituhumu Serikali na CCM vinavihujumu vyama vya Upinzani katika uchaguzi wa S/mtaa. Hii ni hadaa na anataka kutafta huruma kwa umma. Dosari za uchaguzi zinashughulikiwa kisheria na si vyombo vya habar.
Hivi utaendedhaje uchaguzi wa mitaa sambamba na uchaguzi wa ndani utegemee mafanikio Hawa jamaa hamnazoMbowe atatanya press Kama Nani? Wakati muda wake wa uenyekiti ulishapita .
Uchaguzi umaganyika lini? Waandishi wa habari wamuulize.Na akiita press swali.la kwanza liwe umetuita wewe Kama Nani?
tushamzoea huyoTamthilia ya Mbowe kuendelea muda si mrefu, leo Okt 6, 2019 anafanya press kuituhumu Serikali na CCM vinavihujumu vyama vya Upinzani katika uchaguzi wa S/mtaa. Hii ni hadaa na anataka kutafta huruma kwa umma. Dosari za uchaguzi zinashughulikiwa kisheria na si vyombo vya habar.