Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja.
"Mwanasheria mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Omar Said Shabani amesema kauli ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib Unguja, Idrissa Kitwana kuwataka watendaji wote wa Serikali Mkoani mwake kuwasilisha vitambilisho vya kupigia kura ni kosa kisheria na hana mamlaka hayo"