Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja.

Your browser is not able to display this video.
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Unguja kuwataka watendaji wa Serikali kuwasilisha vitambulisho vya Kupigia Kura.


"Mwanasheria mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Omar Said Shabani amesema kauli ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib Unguja, Idrissa Kitwana kuwataka watendaji wote wa Serikali Mkoani mwake kuwasilisha vitambilisho vya kupigia kura ni kosa kisheria na hana mamlaka hayo"​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…