Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Asalaam Aleykum,
Niko ndani ya ukumbi wa Hoteli ya Bwawani hapa Zazibar, nitakuletea yanajiri kwenye hii siku ya kwanza ya Mkutano wa Redet, unaofanyika Zanzibar kwa mara ya kwanza. Unatarajiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Abeid Amani Karume.
Kinachoendelea sasa, ni kusubiriwa tuu kwa mgeni rasmi aje, mkutano uanze.
Tayari ukumbi umeishafurika karibu vichwa vyote vinavyomater kwenye siasa za Zanzibar, Cuf na line-up yao kubwa ikiongozwa na Mwenyekiti Lipumba, Maalim Seif na Mohamed Rashid, wabunge na wawakilishiu wa CCM na CUF wamo ndani ya nyumba hadi Juma Duni japo bado hajaapishwa.
Balozi mbalimbali pia zimewakilishwa humu ndani, Ubalozi wa Uingereza umewakilishwa na Mshauri wake wa Masuala ya Siasa, nawaona wawakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, Ubalozi wa Sweden na balozi wa Norway ambaye amekuja mwenyewe sio kutuma mwakilishi.
Haya ndio majumuisho ya mkutano huo

- [FONT=Arial, sans-serif]Washi[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]riki wa Mkutano wa Hali ya Siasa Zanzibar wanatoa pongezi kwa (REDET) na UDSM kuandaa mkutano uliotoa fursa kwa Wanzanzibari kujadili na kutafakari hali ya siasa na mustakabali wa Zanzibar.[/FONT]
- [FONT=Arial, sans-serif]Washiriki wa m[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]kutano wamemshukuru Rais Karume kuufungua na kumpongeza kwa hotuba ya ujenzi wa uvumilivu wa kisiasa Zanzibar [/FONT]
- [FONT=Arial, sans-serif]Washiriki wa mkutano, [/FONT][FONT=Arial, sans-serif]wamewapongeza Rais Karume na Maalimu kwa kuweka kando tofauti zao kwa maslahi ya Zanzibari kwa kufungua ukurasa mpya katika siasa za Zanzibar.[/FONT]
- [FONT=Arial, sans-serif]Mkutano unatambua umuhimu wa historia katika jamii maana tusipojua tulikotoka hatuwezi kufahamu v[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]izuri tulipo na hata tuendako, hivyo wametoa wito kwa Wazanzibari kuepukane kutumia jinamizi la historia kuwagawa Wazanzibari na kuainisha mazuri ya historia ya Zanzibar ili kuyaenzi na Wazanzibari tukatae kuwa watumwa wa historia.[/FONT]
- [FONT=Arial, sans-serif]Chaguzi huru na za haki ni kigezo m[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]uhimu cha demokrasia na utawala bora katika kuwapata viongozi wanaotokana na ridhaa ya wananchi. Washiriki wanapendekeza mambo yafuatayo:-[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]mfumo mpya wa ucha[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]guzi badala ya mfumo wa sasa wa mshindi kubeba kila kitu yaani the winner takes all, watumie Mfumo wa uwiano yaani Proportional Representation -[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]Kupitia upya sheria za uchaguzi ili Wazanzibar wote wenye sifa za kushiriki uchaguzi , washiriki na kuanzia kwa kutolewe elimu ya uraia. -[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]Daftari la kudumu la wapiga[/FONT][FONT=Arial, sans-serif] kura lipitiwe upya ili kuondoa kasoro zilizopo nakujenga imani ya wananchi kwa taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuendesha chaguzi.[/FONT]
- [FONT=Arial, sans-serif]Mkutano unashauri[/FONT][FONT=Arial, sans-serif] kutafakari sababu za kutotekelezeka kwa muafaka wa I (1999); muafaka wa II (2001) na mazungumzo ya muafaka wa III yaliyovunjika mwaka 2008. -[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]Mchakato wa [/FONT][FONT=Arial, sans-serif]sasa wa maridhiano uawashirikisha wananchi wote [/FONT]
- [FONT=Arial, sans-serif]Washiriki wanatambua umuhimu wa vyombo vya dola na mchango wa vyombo vya habari kwa usalama na amani ya nchi pamoja na utoaji wa haki kwa maendeleo ya nchi na watu wake. Hata hivyo:[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]Vyombo hivi vifanye kazi kwa kuzingatia weledi, maadili na maslahi ya wananchi wote badala ya makundi fulani [/FONT]
- [FONT=Arial, sans-serif]Mkutano unatambua umuhimu na nafasi ya serikali za mseto katika kutatua matatizo na migogoro ya kisiasa. Serikali ya umoja wa kitaifa ni muhimu kwa kuzingatia hali ya siasa ya Zanzibar. Hata hivyo:[/FONT]
- [FONT=Arial, sans-serif]Tahadhari na umakini mkubwa unahitajika katika kufikia azma hiyo[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]Fursa iliyojitokeza November 5, 2009 kutokana na maridhiano ba[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]ina ya Rais Karume na Maalim Seif inatoa mwanya wa kufikia azma hiyo. Ni vizuri mchakato wa kufikia hali hiyo ukaanza mara moja.[/FONT]
- [FONT=Arial, sans-serif]Mwis[/FONT][FONT=Arial, sans-serif]ho Mkutano unawashauri wananchi wote wa Tanzania kuwa Jukumu la kujenga Zanzibar mpya yenye amani, utulivu, maridhiano na maendeleo kwa wote. Watanzania wote na Wazanzibari wakiwemo kama sehemu ya Tanzania.[/FONT]