OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
AGENDA ZA MKUTANO WA SIMBA
Kuhakiki idadi ya wanachama wanaohudhulia mkutano, kuthibitisha ajenda, kuthibitisha kumbukumbu za mkutano uliopita, yatokanayo na kumbukumbu za mkutano uliopita, hotuba ya rais, kupokea na kujadili taarifa ya utendaji kutoka kamati tendaji, kujadili mapendekezo ya kuwasamehe wanachama waliofungiwa au kusimamishwa, kupokea na kupigia kura jina la mdhamini anayependekezwa kujaza nafasi iliyo wazi, kuthibitisha hesabu ya fedha zilizokaguliwa za mwaka uliotangulia, kuthibitisha taarifa ya chombo cha ukaguzi na hatua ziluzochukuliwa na vyombo vya utendaji, kuthibitisha bajeti ya mwaka unaofuata, menginyo, kufunga mkutano.
Updates
Prof Juma Kapuya amepitishwa kwa sauti moja na mkutano mkuu wa wachama kuwa Mdhamini wa klabu ya Simba na kuchukua nafasi ya Marehemu Ally Klaiyst Sykes
Updates
Kilomoni asimamishwa uanachama....Safi sana
Mh. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaj Adam Mgoi amechaguliwa na mkutano mkuu wa Wanachama wa klabu ya Simba kuwa mdhamini wa klabu baada ya kumwondoa Mzee Kilomoni kwenye nafasi ya udhamini, pia klabu ya Simba imemsimamisha mzee Kilomoni uanachama na ataandikiwa barua kwa ajili ya kumpa nafasi ya kujitetea.