mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 188
Sisi tuko Zambia tunasubiria train ili tuje kumuona na kupiga kura. Tumeacha biashara ili tuakikishe Dr. Wakweli anashida. Mbarikiwe
Mh. Rais mtarajiwa aamsha ari kwa wakazi wa mbeya . Maduka na shughuri za watu za fungwa.
Wote waenda kwa maandamano na kufunga barabara kwenda kumsikiliza.
Bendera za Chadema zarindima na kung'aza mji.
Salamu huku ni vidole viwili juu.
Angalia JK asije kwenda huko
Angalia JK asije kwenda huko
Kuna jamaa yangu yuko mkutanoni kanambia ana simu ya mchina na hana kamela.
Nkamwambia hauna maana bse ananipa maneno matupu