Elections 2010 Mkutano wa Slaa Mbeya!

Elections 2010 Mkutano wa Slaa Mbeya!

Hao Manyang'au wameisha ingilia itv kuzuia wasituoneshe mkutano wa Mbeya! Basi ngoja wamalizie masaa yao ya kutuendesha kibabe, kesho tupige kura kuwaondoa na kumweka DR SLAA Ikulu
 
Sisi tuko Zambia tunasubiria train ili tuje kumuona na kupiga kura. Tumeacha biashara ili tuakikishe Dr. Wakweli anashida. Mbarikiwe

MKuu Shavu nakupa, mie niko mbali huku Shanghai, China sina namna nawatakiwa ushindi mnono na halali, mwenyezi mungu yuko upande wetu toka mwanzo wa mchakato wa huu uchaguzi.
 
Wana Mbeya, naomba muwe watulivu mkutano uwe wa amani ili ccm wasipate sababu ya kumchafua Dr. Slaa (PhD). Chonde chonde muwe waangalifu msikanyagane. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Dr Slaa (PhD)
 
Mh. Rais mtarajiwa Dr. SLAA aamsha ari kwa wakazi wa mbeya . Maduka na shughuri za watu za fungwa.
Wote waenda kwa maandamano na kufunga barabara kwenda kumsikiliza.
Bendera za Chadema zarindima na kung'aza mji.
Salamu huku ni vidole viwili juu.
 
Mh. Rais mtarajiwa aamsha ari kwa wakazi wa mbeya . Maduka na shughuri za watu za fungwa.
Wote waenda kwa maandamano na kufunga barabara kwenda kumsikiliza.
Bendera za Chadema zarindima na kung'aza mji.
Salamu huku ni vidole viwili juu.

Angalia JK asije kwenda huko
 
Kuna jamaa yangu yuko mkutanoni kanambia ana simu ya mchina na hana kamela.
Nkamwambia hauna maana bse ananipa maneno matupu
 
Jamani kuweni chonjo wasichakachuwe kura!!
 
Nilikuwa Mbeya this morning nimesikia Kikwete atakuwa na mkutano wa ndani pale ukumbi wa Mkapa karibu na Karembu Bar
 
Anapataje mapokezi makubwa wakati machifu wa Wanyakusa - Kikwete na Ridhiwani wako Dar?
 
Jamani huwezi kuamini, data nilizopata zinatisha, CCM mbeya imemuunga mkono Dr. Slaa, na hivi sasa CCM mkoa wa Mbeya wako mkutanoni kwa Dr. Slaa na viwanja vyenyewe ni mahala panaitwa CCM Ilomba. Barabara ya kutoka Dar kwenda Mbeya imefungwa eneo hilo kutokana na umati wa watu kwa zaidi ya masaa mawili.

Sasa hivi abiria wanaotoka Iringa na Dar kwa furaha kabisa wameamua washuke ili wakamsikilize mwanamapinduzi wa kweli Dr. Slaa
 
Jamani Dr. Kashamaliza kuhutubia Mbeya na sasa ffu wanafyatua mabomu ya machozi kusambaratisha umati uliofurika ambao walikuwa wanataka kusidikiza gari la Dr.Slaa.
Sasa kila mtu anakimbia anakukujua yeye. Hakukuwa na sababu ya kutumia nguvu kiasi hiki.
 
Slaa wa ukweli ..kuanzia kesho Tanzania mpya watu wa mbeya tuko pamoja
 
Back
Top Bottom