Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Sisi Makobaz baada ya Iran kulemazwa, Russia hali yake anasumbuliwa na Ukraine mpaka sasa. Tukahamia China.
Sasa China katuangusha. Anataka kununua Oil toka US? hii inaumiza sana. Sasa tuhamie kwa Museven maana naye huwa hamwogopi US ni mbabe hasa mtoto wa Museven. Uganda imekuwa Taifa kubwa sana inapambana na US.
Assad chali
Maduro chali
Khayatollah ameshaoza
Putin hoi
Who are zey? Kichwani empty
Soma Pia: Donald Trump anatua Beijing, na pamoja na Wakurugenzi Wakuu kuomba "mikataba" na Rais wa China Xi Jinping: hali ya uchumi Marekani ngumu
Jamaa wameonesha kuheshimiana na mapokezi ya Trump yalikuwa ya kibabe sana.