Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Well ulaya wameshachukua stance yao, hatowavuruga kama anavyodhaniTrump kaamua waziwazi kusimama upande wa Putin, huyu Mzee atawavuruga kweli kweli Ulaya magharibi na NATO yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well ulaya wameshachukua stance yao, hatowavuruga kama anavyodhaniTrump kaamua waziwazi kusimama upande wa Putin, huyu Mzee atawavuruga kweli kweli Ulaya magharibi na NATO yao.
Wewe ndiye unayejitungia maneno kwani hukuwapo kwenye mkutano huo. Mwenyekiti ya mkutano alikuwa Waziri wa Mambo ya nje wa Turkey Cavusoglu, ambaye hakubaliani na madai unayosema. Mpaka leo Rais wa Turkey yuko upande wa Ukraine na wala hakunbaliani na propaganda za Urusi. Watu walikomalia kwenye mazingira ya propaganda hudhani kuwa wao ndio wanajua kila kitu na kutaka kuwaambukiza wengine mawazo yao. Mikutano yote iliyofanyika kabla ya uvamizi na hata baada ya uvamizi iko documented vizuri sana kwani ni mika amitatu tu iliyopita.Ww unajulikana kwa chuki zako dhidi ya Urusi hivyo hatukushangai kwa lolote juu ya haya uliyo yaandika.
Kabla ya Urusi kuivamia Ukraine iliiambia Marekani na Ukraine kuwa itoe hakikisho la kusheria kuwa Ukraine haitajiunga na nato kamwe lakini Marekani na Zelenskyy wakakataa.
Bado kwenye mazungumzo ya Istanbul Uturuki, Urusi na Ukraine walikuwa wamesha fikia makubaliano tena wenye unafuu mkubwa kwa Ukraine, ambayo ilikuwa ni Ukraine kutojiunga na Nato na kuyapa uhuru wa ndani majimbo mawili ya Donesk na Luhgansik mpaka Urusi ikaondoa wanajeshi wake walio kuwa wameizunguka Kiev lakini Baden na Jonson walimkataza Zelenskyy kuyasaini makubaliano hayo na kumuambia aendelee kupambana watamsaidia mpaka ashinde.
Acha kujitungia maneno.
Huo uhuru wa nchi kujiamlia mambo bila kuingiliwa mbona huwa hamuuoni kwa Iran, Venezuela, N.korea, na nchi zote zenye misimamo inayo pinga itikadi za kimagharibi?Wewe ndiye unayejitungia maneno kwani hukuwapo kwenye mkutano huo. Mwenyekiti ya mkutano alikuwa Waziri wa Mambo ya nje wa Turkey Cavusoglu, ambaye hakubaliani na madai unayosema. Mpaka leo Rais wa Turkey yuko upande wa Ukraine na wala hakunbaliani na propaganda za Urusi. Watu walikomalia kwenye mazingira ya propaganda hudhani kuwa wao ndio wanajua kila kitu na kutaka kuwaambukiza wengine mawazo yao. Mikutano yote iliyofanyika kabla ya uvamizi na hata baada ya uvamizi iko documented vizuri sana kwani ni mika amitatu tu iliyopita.
Unapodai walifikia makubalino yenye unafuu kwa Ukraine ni matokeo ya kutoamaini kuwa Ukraine ni nchi huru yenye haki ya kujiamlia mambo yake, lakini Urusi inalazimisha kujipa jukumu la kuamua mambo ya Ukraine wakati raia wa urusi wana masisha magumu sana. Mwanzoni mwa vita kuna askari wa urusi walikuwa wanakutwa wameiba vitu kama chupi na miswaki kuonyesha kuwa vitu hivyo vilikuwa ni hadimu huko kwao.
Uchumi wa Urusi kwa mwaka jana ulikuwa ni $2.02 trilion; huo ni sawa na nusu ya ya uchumi wa jimbo la California tu ambao ni $4.0 trilion na chini ya uchumi wa France, UK, Germany na Itally; lakini bado inataka iwe na influence kwenye mambo ya nchi nyingine. Kama alivyoshindwa Syria, hata Ukraine mambo yatakuwa vivyo hivyo hata kama trum atamsaidia.
Nadhani Ulaya,Japan, Korea kusini , Filipino,Taiwan wamepata somo kubwa kuhusu madhara ya kuitegemea mno Marekani kiulinzi....Uchumi wa Urusi kwa mwaka jana ulikuwa ni $2.02 trilion; huo ni sawa na nusu ya ya uchumi wa jimbo la California tu ambao ni $4.0 trilion na chini ya uchumi wa France, UK, Germany na Itally; lakini bado inataka iwe na influence kwenye mambo ya nchi nyingine. Kama alivyoshindwa Syria, hata Ukraine mambo yatakuwa vivyo hivyo hata kama trum atamsaidia.
Nadhani Ulaya,Japan, Korea kusini , Filipino,Taiwan wamepata somo kubwa kuhusu madhara ya kuitegemea mno Marekani kiulinzi....
Sasa watajitahid mno kusimama peke yao.
T14 Armata Drifter FRANC THE GREAT Gwappo Mwakatobe
Wewe ni Asset kwani unarudia maneno ya Putin one on one. Unatoa mifano isyofanana kabisa. Mifano yako ingekuwa na nguvu iwapo ungeonyesha nchi ambayo ilimegwa na nchi za magharibi kwa nguvu. Mengine yote ni bla blah tu.Huo uhuru wa nchi kujiamlia mambo bila kuingiliwa mbona huwa hamuuoni kwa Iran, Venezuela, N.korea, na nchi zote zenye misimamo inayo pinga itikadi za kimagharibi?
Au mtu ukishakuwa mfuasi wa nchi za Magharibi automatically unakuwa malaika kwa hiyo kila unacho kifanya ndo kipimo cha haki?
Nyinyi watu wenyewenyewe mitizamo ya kimagharibi mna unafiki mwingi,Ukraine ina haki ya kujiunga na Nato kwa sababu ni taifa huru ila wakati huo Iran haina haki ya kutengeneza silaha za nyukilia kuwalinda raia wake?
Zichukuliwaje?Marekani ingekuwa Urusi ni wazi kuwa nchi za Cubna Venezuela zingeshachukuliwa kwa nguvu
Kwa mantiki ya Putin, kama nchi jirani zisipokubaliana na matakwa yake basi anazivamia na kuzichukua kwa nguvu kuzifanya sehemu ya urusi. Cuba na Venezuela hazikubaliani nsa matakwa ya Marekani lakini Marekani haijazivamia kama Putin alivyofanya Ukraine na GeorgiaZichukuliwaje?
Kwa mantiki ya Putin, kama nchi jirani zisipokubaliana na matakwa yake basi anazivamia na kuzichukua kwa nguvu kuzifanya sehemu ya urusi. Cuba na Venezuela hazikubaliani nsa matakwa ya Marekani lakini Marekani haijazivamia kama Putin alivyofanya Ukraine na Georgia
Utakuwa una matatizo makubwa sana akilini mwako.Huo uhuru wa nchi kujiamlia mambo bila kuingiliwa mbona huwa hamuuoni kwa Iran, Venezuela, N.korea, na nchi zote zenye misimamo inayo pinga itikadi za kimagharibi?
Au mtu ukishakuwa mfuasi wa nchi za Magharibi automatically unakuwa malaika kwa hiyo kila unacho kifanya ndo kipimo cha haki?
Nyinyi watu wenyewenyewe mitizamo ya kimagharibi mna unafiki mwingi,Ukraine ina haki ya kujiunga na Nato kwa sababu ni taifa huru ila wakati huo Iran haina haki ya kutengeneza silaha za nyukilia kuwalinda raia wake?
Hizo nchi zote ulizo zitaja zinailipa mabilion ya $ kwa Marekani kila mwaka hata silaha wanazo pewa wananunua sio kama Ukraine inayo taka kupewa bure.Nadhani Ulaya,Japan, Korea kusini , Filipino,Taiwan wamepata somo kubwa kuhusu madhara ya kuitegemea mno Marekani kiulinzi....
Sasa watajitahid mno kusimama peke yao.
T14 Armata Drifter FRANC THE GREAT Gwappo Mwakatobe
Kwa hiyo kumbe nchi hairuhusiwi kumega nchi nyingine ila wakati huo inaruhusiwa kuvamia nchi nyingine na kuuwa mamilion na kufanya uharibifu dhidi ya nchi hizo kama wafanyavyo hao mabwana zako sio?Wewe ni Asset kwani unarudia maneno ya Putin one on one. Unatoa mifano isyofanana kabisa. Mifano yako ingekuwa na nguvu iwapo ungeonyesha nchi ambayo ilimegwa na nchi za magharibi kwa nguvu. Mengine yote ni bla blah tu.
Marekani ingekuwa Urusi ni wazi kuwa nchi za Cubna Venezuela zingeshachukuliwa kwa nguvu.
Unavyoandika kwa kugeneralize ni dalili ya kutokutumia akili bali unatumia mishipa ya shingo.
Ww ni mjinga wa kuwango cha juu kwa hiyo hizo nchi ulizo zitaja hazina utawala wa sheria unao waongoza ila wanaishi kama wanyama sio?Utakuwa una matatizo makubwa sana akilini mwako.
Hivi hizi Nchi ulizozitaja ni Nchi nzuri za kuzitolea mifano katika masuala haya ya Utawala Bora wa Sheria, Haki za kiraia na Demokrasia???? Kweli?
Nchi hizi za Iran, Venezuela, na Korea ya Kaskazini zote kabisa kwa Sasa na kwa muda mrefu Sana zimekuwa na Watawala makatili wa kifashisti wenye Misimamo mikali na iliyo potofu ya Kikomunisti/Ujamaa. Je, Hao wanaweza kuwa mifano bora?
Vp nawe utakuwa vitan???Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.
Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa maisha ya Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.
Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.
Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.
Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.
Mbona hata sasa hivi tayari nipo huku vitani!Vp nawe utakuwa vitan???
Hapo kwa manjunju ndo vitan co???Mbona hata sasa hivi tayari nipo huku vitani!
Vipi una swali lingine?
Ni nchi gani imefanywa sehemu ya Urusi?Kwa mantiki ya Putin, kama nchi jirani zisipokubaliana na matakwa yake basi anazivamia na kuzichukua kwa nguvu kuzifanya sehemu ya urusi. Cuba na Venezuela hazikubaliani nsa matakwa ya Marekani lakini Marekani haijazivamia kama Putin alivyofanya Ukraine na Georgia
Kumbe hujui kinachoendelea huko UrusiNi nchi gani imefanywa sehemu ya Urusi?