Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa.
MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane.
Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
 
Kwani kuna ajabu hapo mbona wizi ni jadi ya CCM! Mpango akae chonjo anaweza kuibwa mwenyewe!
 
Asihofu ndugu Mc ataipata simu yakeπŸ€”
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mkutano wanakusanya wahuni na wavuta bangi woote wa kariakoo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wezi ni wezi tu.Waanze kumsachi huyo mc,waendelee hivyohivyo kwa wote.Fula-pigmies!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…