Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa.
MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane.
Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."

Kwani wewe ni cdm??
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwa hali hii watazuia tena mikutano
Hata mm nina wasiwasi huo , jamaa zetu wamechokwa kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo picha hapo ni mhe Lissu akiwa njiani kuelekea Ikungi na halisimamishwa na wananchi wakimtaka awasalimie ndo aendelee na safari...alafu umeliwa zako kiboga huko unakuja hapa unasema chadema imekufa [emoji12][emoji23][emoji12]
IMG-20230205-WA0066.jpg

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Hata mm nina wasiwasi huo , jamaa zetu wamechokwa kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo picha hapo ni mhe Lissu akiwa njiani kuelekea Ikungi na halisimamishwa na wananchi wakimtaka awasalimie ndo aendelee na safari...alafu umeliwa zako kiboga huko unakuja hapa unasema chadema imekufa [emoji12][emoji23][emoji12]View attachment 2507326

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa.
MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane.
Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
Hiyo simu bado hawajaipata hadi sahizi?
 
Back
Top Bottom