Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.


Kwani wewe ni cdm??
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwa hali hii watazuia tena mikutano
Hata mm nina wasiwasi huo , jamaa zetu wamechokwa kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo picha hapo ni mhe Lissu akiwa njiani kuelekea Ikungi na halisimamishwa na wananchi wakimtaka awasalimie ndo aendelee na safari...alafu umeliwa zako kiboga huko unakuja hapa unasema chadema imekufa [emoji12][emoji23][emoji12]

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hiyo simu bado hawajaipata hadi sahizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…