Halafu kuna wajinga fulani utawasikia eti wanashukuru kupata fursa ya kutoa maoni😢😢wanaita kutoa maoni gani wakati wameshfanya baadhi ya maamuzi mfano katiba mpya isubiri mpaka 2025
Mbona wamepika maoni ya wajumbe wao. Hata yetu si wapike tu. Wasiingie gharama.Walio na Maoni kuhusu masuala mbalimbali yaliyoainishwa baada ya Mkutano wa Wadau wa Demokrasia uliofunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Desemba 2021 wametakiwa kuyawasilisha kwa Kikosi Kazi kilichoundwa
Masuala makuu 9 yaliyoainishwa na Kikosi hicho ili kuwasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi ni pamoja na Mfumo wa Maridhiano, Katiba Mpya, Mikutano ya hadhara na ndani ya Vyama vya Siasa, Masuala yanayohusu Uchaguzi, Rushwa na Maadili katika Siasa/Uchaguzi na Elimu ya Uraia
View attachment 2200466
View attachment 2200469
Walio na Maoni kuhusu masuala mbalimbali yaliyoainishwa baada ya Mkutano wa Wadau wa Demokrasia uliofunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Desemba 2021 wametakiwa kuyawasilisha kwa Kikosi Kazi kilichoundwa