GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Inatia moyo kwakweli nadhani tunafungua kurasa mpya sasa. Kama watasikiliza na watakua tayari kutekeleza maoni. At least tutawashuhudia Herufi Tatu(TRA) wakija kwa majadiliano bila kuwa na FFU na makofuli ya kufunga fremu kwa kipindi kirefu sana
Ila kama ni mkutano tu kama mingine iliyopita basi ni kupoteza muda
Ila kama ni mkutano tu kama mingine iliyopita basi ni kupoteza muda