Mkuu Gaganiga

Mkuu Gaganiga

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Majobless, masikini na mnaoshi kwa shemeji zenu mko poa? Na wakerewe pia mko poa?

Wakuu humu jf kuna lijamaa linaitwa gaganiga daah wakuu huyu jamaa ni mnyamwezi fulani iko pesa nyingi sana aisee mimi kwanza nilistaajabu baada ya kumuona nikajiuliza hilidaa chalii mbona ni cool?

Nilikutana nae pale Cape Town fish market yupo na millionaire wenzake wakipiga pombe na vileo vya bei mbaya nikijaribu kupiga makes Abu inafikia kama milioni kumi hivi nikasema daah huyu jamaa ni hatari aisee.

Kwanza jamaa hana Shoo za kijinga jinga na pembeni amepaki land rover discover namba E ikiwa inapumua tuu daah aisee kuna watu wana hela aisee Acha kabisa.

Jamaa nimepiga nae story akanipeleka kwenye majumba yake daaah aisee wakuu si nyumba ni majumba tena ya kifahari aisee.

Ana majumba matatu hapa Bongo moja lipo masaki kuna lingine lipo upanga karibu nq sea view na kuna jingine lipo mbezi beach yote amewaweka wake zake wa kiarabu tena weupe.

Jamaa ananiambia kuna majumba yake mengine yapo Nairobi kule yako 3 mengine capetown, kuna mengine yapo marekani na London ana majumba pia, aisee huyu jamaa ana hela sana aisee.

Nawasilisha aisee kazi kwenu wenye wivu,majunga na chuki za waziwazi kwa hili niga the billionaire gaganiga.
 
Umejiunga Saturday kwa ID mpya uje kujipigia promo mwenyewe
 
.
20221121_190552.jpg
 
Gaganiga huyuhuyu mwanzisha nyuzi za hovyo,
Wewe na yeye wote mnaugonjwa wa akili mnafanya imagination ya pesa ambazo hamna.
Ninawasiwasi mtoa mada ni jobless
Nashangaa mods wanaachia manyuzi hayana kichwa wala miguu kama hizi...🚮
 
Afya ya akili ya mtoa mada ipo katika Hali mbaya Sana kudadeki!
 
Back
Top Bottom