Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Nime soma hoja zako hapo nikashangaa hii akili kaitoa wapi? Umechambua hoja kuliko hata wanahabari wanao lipwa mishahara
Lilio nishangaza sana ni hili:
Kisumu port inatumia mbinu gani? Kama sio rail-marine-rail ama Road-Marine- Road.
Nilijaribu kuweka komment yangu hapo nikaona hizi akili siwezani nazo, wacha tu niwe muwazi nifungue uzi nikupongeze
👏👏👏👏👇👇👇👇👇
www.jamiiforums.com

Bado sijaelewa lengo kuu la kufufuliwa kwa "Kisumu port"
Ningependa kushirikisha mawazo yangu ili kuibua mjadala kuhusu bandari ya Kisumu ambayo punde tu itakusanya marais 5 kuizindua. Nimefikiria sana kuhusu hii bandari umuhimu wake kwa sasa, bado sijapata muunganiko wake. Bandari ya Kisumu iliacha kufanyakazi zaidi ya miaka 12 iliyopita, sababu...