Tetesi: MKUU @joto la jiwe : Asante kwa makala yako kuhusu Kisumu Port, Tumekuelewa sana

Nime soma hoja zako hapo nikashangaa hii akili kaitoa wapi? Umechambua hoja kuliko hata wanahabari wanao lipwa mishahara
Lilio nishangaza sana ni hili:
Kisumu port inatumia mbinu gani? Kama sio rail-marine-rail ama Road-Marine- Road.
Nilijaribu kuweka komment yangu hapo nikaona hizi akili siwezani nazo, wacha tu niwe muwazi nifungue uzi nikupongeze
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mkikuyu-Akili timamu, ninashukuru sana kwa pongezi juu ya makala yangu. Kiukweli siwaelewi viongozi wakenya na wakenya wengi katika maamuzi yao Mengi wanayoamua.

Ninahisi kama ningekuwa mkenya, ningeuliwa kama alivyouliwa Jacob JUMA, kwasababu ningekosoa maamuzi Mengi ya serikali ya Kenya. Kwa kifupi viongozi wengi sana wa serikali ya Kenya uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana.
 
Mada yako ya nonsense tupu hapa. Afadhali hii port inafanyiwa commissioning imeisha ujenzi lakini ile yenu ya Bagamoyo imekufa kifo cha kishetani kabisa.Kenya ni kusema na kutenda na Bongolala ni kusema na kulala fofofo.
 
Viongozi wa Kenya na wakenya wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Nilijaribu kuweka komment yangu hapo nikaona hizi akili siwezani nazo, wacha tu niwe muwazi nifungue uzi nikupongeze
Hats Mimi acha niwe muwazi nikwambie zile akili unawezana nazo ni za kutusi wanawake Malaya wa kariobangi wanaouza tigo sababu K imeisha utamu.
Bure kabisa wewe bongokufa cannibal from Tanzania.
Anyway, hongera sana joto la jiwe ila ujue mgema akisifiwa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom