Tetesi: MKUU @joto la jiwe : Asante kwa makala yako kuhusu Kisumu Port, Tumekuelewa sana

Mkikuyu-Akili timamu, ninashukuru sana kwa pongezi juu ya makala yangu. Kiukweli siwaelewi viongozi wakenya na wakenya wengi katika maamuzi yao Mengi wanayoamua.

Ninahisi kama ningekuwa mkenya, ningeuliwa kama alivyouliwa Jacob JUMA, kwasababu ningekosoa maamuzi Mengi ya serikali ya Kenya. Kwa kifupi viongozi wengi sana wa serikali ya Kenya uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana.
 
Mada yako ya nonsense tupu hapa. Afadhali hii port inafanyiwa commissioning imeisha ujenzi lakini ile yenu ya Bagamoyo imekufa kifo cha kishetani kabisa.Kenya ni kusema na kutenda na Bongolala ni kusema na kulala fofofo.
 
Viongozi wa Kenya na wakenya wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…