Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Lucas sahivi ni VEO ratiba inambana snUchaguzi ni keshokutwa tu Lakini sizioni Kabisa zile amsha Amsha kama enzi za akina MwanaDiwani , TandaleOne na CHABURUMA na yule Lizaboni
Changamkeni bhana 😄
Paschal amekuwa mtu wa hovyo snKuna Muda wa kutumikia Siasa na ikifika magharibi unamtumikia Mungu wa Mbinguni
Pascal anamtumikia Mungu wa Mbinguni wakati anajitafuta 70 ya Kibiblia 😄
Uchaguzi ni keshokutwa tu Lakini sizioni Kabisa zile amsha Amsha kama enzi za akina MwanaDiwani , TandaleOne na CHABURUMA na yule Lizaboni
Changamkeni bhUnambitious
NjaaPaschal amekuwa mtu wa hovyo sn
Ameacha hata ile kwa maslahi ya taifa sasa anaimba kwa maslahi ya chama twawala.Paschal amekuwa mtu wa hovyo sn
Hatari snNjaa
NjaaAmeacha hata ile kwa maslahi ya taifa sasa anaimba kwa maslahi ya chama twawala.
Na wa kwanza kujikuna ni huyo johnthebaptistAkimwaga upupu wengi wanajikuna huku.
Acha moshi dogo.Lucas sahivi ni VEO ratiba inambana sn
Mbona mko humu masaa 24 na wewe ukiwepo?CCM hatushindi mitandaoni kama Chadema tuko busy field kwa watu mtaa kwa mtaa kijiji kwa kijiji mwaka wa uchaguzi huu
Mitandao tunawaachia Chadema na wapiga filimbi wa hamelini wao wasio na matawi nchi nzima
Binafsi, kuna mambo mengi najifunza kutoka kwa member wa hapa JF, ambayo huwa naona yananisaidia, hata huku mitaani.Paschal amekuwa mtu wa hovyo sn
Kwani uongo?Acha moshi dogo.
Endelea kujifunzaBinafsi, kuna mambo mengi najifunza kutoka kwa member wa hapa JF, ambayo huwa naona yananisaidia, hata huku mitaani.
Mmoja wapo, ni huyo Bro Pascal Mayalla . Hachokozeki, hajibu UJINGA!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
NDIOKwani uongo?
Shida nini brother?
Na "Kujifunza" hakuna mwisho!Endelea kujifunza
Sawa comrade