Mkuu Lucas Mwashambwa JF pamepoa kwa kukosekana Habari za CCM, hebu changamsha UVCCM Wenzako Moto uwake hapa!

CCM hatushindi mitandaoni kama Chadema tuko busy field kwa watu mtaa kwa mtaa kijiji kwa kijiji mwaka wa uchaguzi huu

Mitandao tunawaachia Chadema na wapiga filimbi wa hamelini wao wasio na matawi nchi nzima
 
Mbona mko humu masaa 24 na wewe ukiwepo?
 
Back
Top Bottom