Mkuu King'asti Kwani yeye Mkuu.@Marire atakunywa Tani nzima ya Muarubaini? nimesha muambia achukuwe majani kiasi cha kuweza kuchemsha Glasi 2 achemshe kwa dakika 10 anywe kabla ya kula kitu asubuhi na usiku kwa muda wa siku 7 kisha aende kupima Malaria bibie King'asti upo pamoja na mimi?Tatizo la kutibu malaria ni kuwa vijidudu vinakuwa attached kati ya chembe nyekundu za damu. Katika kutibu dawa inachangia kuharibu chembe hizo. Kunywa mwarobaini bila dozi kamili ni hatari sana inaweza kuleta upungufu wa damu.
Natamani tungeestablish dosage. Kg ngapi za mwarobaini, maji kiasi gani na yawe reduced kwa kiasi gani.
endelea mkuu..yaonekana itakusaidia...usikate tamaa....jana usiku nimekunywa glass moja na sasa hivi nimesha kunywa moja,nilivyokuwa nanijisikia jana leo nina afadhali sana,ngoja niedelee na dozi nitaleta majibu next week
Sasa Mkuu MziziMkavu hiyo glasi moja ya moja inapaswa kuchemshwa na majani kiasi gani?
Majani kipimo cha kiganja cha mkono wako majani ya mwarubaini yanatosha.Tia ndani ya chombo chenye maji glasi 2 chemsha hayo majani ya Mwarubaini kwa dakika 10 kisha chuja unywe fanya hivyo ukiweza japo mara 2 au mara 3 kwa siku tumia siku 7 au inategemea maradhi yako kama ni makubwa tumia siku 14 au siku 21 utapona. kila unapo taka kutumia dawa chukuwa dawa mpya uchemshe.Sasa Mkuu MziziMkavu hiyo glasi moja ya moja inapaswa kuchemshwa na majani kiasi gani?
Kwasababu ukisema tu glasi moja yupo atakayechemsha majani mengi na mwingine atachemsha kidogo.
Ni vizuri ukatuambia glasi moja ya maji yanahitaji majani kiasi gani.
Pia magome na matunda yake yanatumikaje yaani kwa dozi?
Shukran sana.
Shukran sanaMajani kipimo cha kiganja cha mkono wako majani ya mwarubaini yanatosha.Tia ndani ya chombo chenye maji glasi 2 chemsha hayo majani ya Mwarubaini kwa dakika 10 kisha chuja unywe fanya hivyo ukiweza japo mara 2 au mara 3 kwa siku tumia siku 7 au inategemea maradhi yako kama ni makubwa tumia siku 14 au siku 21 utapona. kila unapo taka kutumia dawa chukuwa dawa mpya uchemshe.