Habari Wakuu!
Mkuu The Bold, kama ulivyomchambua Plablo Escobar ktk ile Thread ya 'Plata o Plomo, Ulimwengu wa Siri kiganjani mwa binadamu mmoja' naomba utuandalie pia kuhusu huyu bwana Chenge. Na sio lazima awe The Bold tu ila kama unaweza ukaandika nakala nzuri kama ile Pablo Escobar a.k.a The Boss, El Patrin, The Don naomba wakuu wa hili jukwaa mtuandalie nakala.
Binafsi nitapendekeza Thread isomeke hivi
"Lete dili tupige Pesa, Ulimwengu wa Ufisadi Tz kiganjani mwa Binadamu mmoja'
Asanteni!
Natafuta no za huyo mzee anifundishe maujanja
Nafikiri tunahitaji documentary yake maana si wa kawaida kama unavyosemaMtamsababishia matatizo kijana wa watu. Kuna watu hawaguswi.
Nafikiri tunahitaji documentary yake maana si wa kawaida kama unavyosema
Sitaki kuamini kuwa wewe unamjua Aleyn kuliko yeye anavyojijua.Mkuu unaonekana hata ukiona demu unaweza kumwita mtu mwingine unayemwamini kwa kutongoza aje amtongoze huyo demu, maana hapa umetumia akili za kushikiwa.
Jiamini mkuu, hata wewe unaweza kufanya na ikasomeka vizuri tu.
Mkuu unaonekana hata ukiona demu unaweza kumwita mtu mwingine unayemwamini kwa kutongoza aje amtongoze huyo demu, maana hapa umetumia akili za kushikiwa.
Jiamini mkuu, hata wewe unaweza kufanya na ikasomeka vizuri tu.
Nina sababu bilioni za kukupenda wewe mwanamke.. [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]Sitaki kuamini kuwa wewe unamjua Aleyn kuliko yeye anavyojijua.
Na sio kila mtu anaweza kuwa muandishi mzuri,ndio maana daktari nguli mwenye PhD hawezi kuijua sheria kama Lissu japo yeye ana elimu kubwa kumzidi.
My point is hakuna anayejua yote na kuweza yote,hata huyo The bold nguli wa makala zenye akili haniwezi linapokuja suala la 'ubuyu' hahahaaaa
Muhimu ni kukubali tu huwezi na kumuachia mjuzi afanye yake,sote hatuwezi kuwa waandishi mahiri.
#VITA YA THE BOLD HAIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA#
Ndo nautaka huo muunganoHutoki bila muungano.....
Anayosifa hiyo.
Mkuu ilikuaje ukafahamika wakati wewe sio "Verified User"?Hahaha.!! Dah mkuu..
Tatizo la hapa kwetu ni kutafutana... And kumbuka mimi nimejiweka wazi... Sijajificha! Watu wanafahamu "The Bold" ni nani... Ndio maana huwa sipendi kuchangia mijadala ya jukwaa la siasa na mijadala inayo fanana na hiyo...
Huwezi amini nimeandika kijimakala tu kuhusu 'tiss' tayari nimeanza kuulizwa ulizwa kwa text kwenye simu... Kisa nimesema tu siku moja nitaandika kwa undani zaidi... Ati naulizwa "unataka kuandika nini?"
Ila sio mbaya... Siku moja nikiamka na "akili za usiku" naandika tu kuhusu joka la makengeza [emoji23] [emoji23]
Nimeweka wazi namba yangu ya simu kwenye kila nyuzi ninayoanzisha...Mkuu ilikuaje ukafahamika wakati wewe sio "Verified User"?
Dah, nahisi kama ulifanya kosa, unaona sasa unavokosa uhuru wa kuandika makala za watu wa homeNimeweka wazi namba yangu ya simu kwenye kila nyuzi ninayoanzisha...