Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Hapana Mkuu... Nilitafakari sana mpaka kufanya hivyo!Dah, nahisi kama ulifanya kosa, unaona sasa unavokosa uhuru wa kuandika makala za watu wa home
She is my soulmate, best friend, lover, fiancΓ© and my manager...Swali la nyongeza:
Hivi huyu mwanamke Nifah ni mpenzi/mke wako kweli ama ni story za kuchangamsha JF?
Asante kwa confirmation mkuu, ila mshauri na yeye awe anaweka namba zake za simu akianzisha threads.She is my soulmate, best friend, lover, fiancΓ© and my manager...
Soon nakualika mkuu uje kula pilau la harusi yetu..
Kwa kifupi tuko serious mno!
Usijali mkuu... Simu yake ni simu yangu and vice versa!! So ukiwa na shida naye just give me a call nitakupa uongee naye..Asante kwa confirmation mkuu, ila mshauri na yeye awe anaweka namba zake za simu akianzisha threads.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante kwa confirmation mkuu, ila mshauri na yeye awe anaweka namba zake za simu akianzisha threads.
Teh teh teh mkuu unawinda hadi kwenye zizi la mtu.Asante kwa confirmation mkuu, ila mshauri na yeye awe anaweka namba zake za simu akianzisha threads.
Ha ha ha haaaa... Umenikumbusha Bushman kwenye "crazy safari", anaenda kuwinda kondoo mahali anapochunga mwenzie.Teh teh teh mkuu unawinda hadi kwenye zizi la mtu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitaki kuamini kuwa wewe unamjua Aleyn kuliko yeye anavyojijua.
Na sio kila mtu anaweza kuwa muandishi mzuri,ndio maana daktari nguli mwenye PhD hawezi kuijua sheria kama Lissu japo yeye ana elimu kubwa kumzidi.
My point is hakuna anayejua yote na kuweza yote,hata huyo The bold nguli wa makala zenye akili haniwezi linapokuja suala la 'ubuyu' hahahaaaa
Muhimu ni kukubali tu huwezi na kumuachia mjuzi afanye yake,sote hatuwezi kuwa waandishi mahiri.
#VITA YA THE BOLD HAIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA#
Kucheza ngoma za asili, hahahahahhaHivi shemeji wewe kipaji chako ni kipi?
Baba tunakupenda achana na uyo mtu fanya yako tuHahaha.!! Dah mkuu..
Tatizo la hapa kwetu ni kutafutana... And kumbuka mimi nimejiweka wazi... Sijajificha! Watu wanafahamu "The Bold" ni nani... Ndio maana huwa sipendi kuchangia mijadala ya jukwaa la siasa na mijadala inayo fanana na hiyo...
Huwezi amini nimeandika kijimakala tu kuhusu 'tiss' tayari nimeanza kuulizwa ulizwa kwa text kwenye simu... Kisa nimesema tu siku moja nitaandika kwa undani zaidi... Ati naulizwa "unataka kuandika nini?"
Ila sio mbaya... Siku moja nikiamka na "akili za usiku" naandika tu kuhusu joka la makengeza [emoji23] [emoji23]
Kucheza ngoma za asili, hahahahahha
Ngoja nitume video,hahahahahaHa ha ha, hiyo nimeipenda. Maana huna jinsi ya kututhibitishia hapa JF.
Ngoja nitume video,hahahahaha
ππππππππππππππSawa, tunaisubiri hapa.
Chenge ni mwanasiasa na mwanasheria wa kawaida sana tu hana ziada yoyote zaidi ya fursa aliyoipata kwa miaka mingi kupitia ofisi ya mwanasheria mkuu.Chenge nmesoma kiukweli yule sio binadamu wa kawaida anaakili kuzidi wasomi wote Tz
Je bado hujawahi bahatika kuandika makala za mtu binafs au kampuniHapana Mkuu... Nilitafakari sana mpaka kufanya hivyo!
Ulikuwa ni uamuzi wa kimkakati, sikukurupuka na honestly sijutii kuweka mawasiliano yangu wazi..