Mkuu The Bold, tuandalie Makala kuhusu Mhe. Andrew Chenge!

Mkuu The Bold, tuandalie Makala kuhusu Mhe. Andrew Chenge!

Hapana Mkuu... Nilitafakari sana mpaka kufanya hivyo!

Ulikuwa ni uamuzi wa kimkakati, sikukurupuka na honestly sijutii kuweka mawasiliano yangu wazi..
Swali la nyongeza:

Hivi huyu mwanamke Nifah ni mpenzi/mke wako kweli ama ni story za kuchangamsha JF?
 
She is my soulmate, best friend, lover, fiancé and my manager...

Soon nakualika mkuu uje kula pilau la harusi yetu..

Kwa kifupi tuko serious mno!
Asante kwa confirmation mkuu, ila mshauri na yeye awe anaweka namba zake za simu akianzisha threads.
 
Teh teh teh mkuu unawinda hadi kwenye zizi la mtu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha haaaa... Umenikumbusha Bushman kwenye "crazy safari", anaenda kuwinda kondoo mahali anapochunga mwenzie.
 
Sitaki kuamini kuwa wewe unamjua Aleyn kuliko yeye anavyojijua.
Na sio kila mtu anaweza kuwa muandishi mzuri,ndio maana daktari nguli mwenye PhD hawezi kuijua sheria kama Lissu japo yeye ana elimu kubwa kumzidi.

My point is hakuna anayejua yote na kuweza yote,hata huyo The bold nguli wa makala zenye akili haniwezi linapokuja suala la 'ubuyu' hahahaaaa
Muhimu ni kukubali tu huwezi na kumuachia mjuzi afanye yake,sote hatuwezi kuwa waandishi mahiri.
#VITA YA THE BOLD HAIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA#

Nina uhakika jamaa ameielewa point yangu, sana.

Kujibiwa na wewe juu ya hili ni sawa na Kitila Mkumbo anavyomtetea Magu kwa kila kitu sasa hivi.

Unatetea unga.

No offense please.
 
Hahaha.!! Dah mkuu..

Tatizo la hapa kwetu ni kutafutana... And kumbuka mimi nimejiweka wazi... Sijajificha! Watu wanafahamu "The Bold" ni nani... Ndio maana huwa sipendi kuchangia mijadala ya jukwaa la siasa na mijadala inayo fanana na hiyo...

Huwezi amini nimeandika kijimakala tu kuhusu 'tiss' tayari nimeanza kuulizwa ulizwa kwa text kwenye simu... Kisa nimesema tu siku moja nitaandika kwa undani zaidi... Ati naulizwa "unataka kuandika nini?"

Ila sio mbaya... Siku moja nikiamka na "akili za usiku" naandika tu kuhusu joka la makengeza [emoji23] [emoji23]
Baba tunakupenda achana na uyo mtu fanya yako tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hapana Mkuu... Nilitafakari sana mpaka kufanya hivyo!

Ulikuwa ni uamuzi wa kimkakati, sikukurupuka na honestly sijutii kuweka mawasiliano yangu wazi..
Je bado hujawahi bahatika kuandika makala za mtu binafs au kampuni

Kwa dhumuni la kibiashara?
 
Back
Top Bottom